Kwa mvua ile CCM CHAWA wangekimbilia kwenye Mabasi na Malori!

Ndo maana Mungu katupa akili ili tuamue kwa busara. Ukimwachia mwingine akili zako akuamulie ni juu yako kwa kuwa huyo mwijaku na kitenge hawatumii akili zako usilalamike hapa kila mtu atumie akili zake vizuri.
 
Uko serious sana πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜„
 
Ukifanya jambo jema likaambatana na mvua ujue hiyo ni Baraka, Mungu wa Mbinguni amesikia Maombi

Ila Nina uhakika Akina Mwijaku na Kitenge wasingevumilia kunyeshewa πŸ˜‚πŸ˜‚

Good morning!
si kweli hata kidogo,

bado mdororo wa muitikio maandamano ya Arusha bado ni wa kusua sua kama ilivyo kua dar, mwanza na mbeya πŸ’

hamna hamasa na msisimuko kabisa πŸ’ πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…