fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Nimesoma waraka ambao umeuandika kwa uchungu mkubwa sana,nami nimeusoma kwa uchungu mkubwa sana.
Ni kweli unapitia madhila,matusi,lawama,kejeli,kashfa na kila aina ya masimango.
Nakuhakikishia kuwa kila binadamu amepitia hali hiyo,sio wewe tu,na hata hao wanaokutukana,wamewahi kupitia hali kama hiyo,huo ndio ubinadamu. Jiulize je wewe umewahi kupitia shida au mateso kuliko Joshuo Nkomo?,kuliko Robert Mugabe?
Watu hao walipitia mateso makubwa lakini waliongeza bidii na wakafaulu,ndivyo na wewe nakushauri ufanye,ongeza bidii na kumtumainia Mungu tu,hivi
Sasa wako wapumbavu wengi sana watakuja kwako kujifanya ndio ma masiha kwako,kwamba wanamjua mganga,sangoma ambae anaweza kukutibu ulivyorogwa,kataaa,ni Mungu pekee ndio atakayekusimamisha na uwashinde hao maadui zako.
Hayo mateso yako yote yageuze yawe fursa kwako,kukuchochea ufanikiwe. Na kwa lugha ya kwenu😛amberi ne chimurenga