Kwa mwanafunzi kama huyu kazi ipo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeshindwa kumalizia kusoma
 
Huyo sio mwanafunzi ni mtu kajiandikia kapiga picha ili kuchNgamsha genge.
 
Huyo sio mwanafunzi ni mtu kajiandikia kapiga picha ili kuchNgamsha genge.
Huyo ni mwanafunzi mkuu, ungekuwa mwalimu ungeamini, kwa maana ungekutana na vibonzo zaidi ya hivi.
 
sidhani kama ni mwanafunzi huyo, ni mtu kajiandikia tu, hasa hiyo conclusion ndio imeharibu kila kitu
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Daaaah, mwenyewe kajipindaaaaaaa
 
Inaonesha dhahiri alielewa ni kipi kinacho maanishwa katika hilo swali, ila changamoto ikaja hapo kwenye kutetea hoja zake..
Anajua ana content tatizo lake tu ni lugha ya kujibia mtihani. Ila maarifa anayo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…