Kwa Mwanamke anaye Nyonyesha

Kwa Mwanamke anaye Nyonyesha

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Inachukua muda gani kwa mwanamke anaye nyonyesha kupata ujauzito, je kunauhusiano wowote wa yeye kutokwenda katika siku zake kama kawaida?
Tujadili pamoja Jf Doctor
 
Inatemegea ntu na ntu wengine hata mtoto ajafikisha miezi 6 ashapata mimba.
 
Back
Top Bottom