Jambo Tz JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 670 Reaction score 203 Aug 6, 2013 #1 Inachukua muda gani kwa mwanamke anaye nyonyesha kupata ujauzito, je kunauhusiano wowote wa yeye kutokwenda katika siku zake kama kawaida? Tujadili pamoja Jf Doctor
Inachukua muda gani kwa mwanamke anaye nyonyesha kupata ujauzito, je kunauhusiano wowote wa yeye kutokwenda katika siku zake kama kawaida? Tujadili pamoja Jf Doctor
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 6, 2013 #2 Inatemegea ntu na ntu wengine hata mtoto ajafikisha miezi 6 ashapata mimba.
Jambo Tz JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 670 Reaction score 203 Aug 6, 2013 Thread starter #3 King Kong III said: Inatemegea ntu na ntu wengine hata mtoto ajafikisha miezi 6 ashapata mimba. Click to expand... kuna uhusiano gani kati ya kunyonyesha na kupata ujauzito?@King kong
King Kong III said: Inatemegea ntu na ntu wengine hata mtoto ajafikisha miezi 6 ashapata mimba. Click to expand... kuna uhusiano gani kati ya kunyonyesha na kupata ujauzito?@King kong
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 6, 2013 #4 Jambo Tz said: kuna uhusiano gani kati ya kunyonyesha na kupata ujauzito?@King kong Click to expand... Hakuna uhusiano ni imani tu kwamba ukiwa unanyonyesha heti haupati mimba
Jambo Tz said: kuna uhusiano gani kati ya kunyonyesha na kupata ujauzito?@King kong Click to expand... Hakuna uhusiano ni imani tu kwamba ukiwa unanyonyesha heti haupati mimba