Kwa Mwanamke atakayevutiwa na huu ukweli wangu namkaribisha rasmi tuanzishe uhusiano wa uhakika na wa kudumu hadi milele

Tomito Tomato

Senior Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
167
Reaction score
444
Naitwa Walter Frank . Nina miaka 33, Kabila ni Mkara na Mpogoro. Dini yangu ni Mkristo wa Dhehebu la Katoliki. Elimu yangu ni Shahada ya Mawasiliano na sasa naendelea na Shahada yangu ya Uzamili ya Masoko. Naishi Mwenge jijini Dar es Salaam. Kwa sasa sina Ajira baada ya Kampuni niliyokuwa nafanya kupatwa na matatizo ya Kisheria ya Umiliki wake iliyopelekea ikafungwa. Hata hivyo natafuta Kwingine japo bado sijafanikiwa ila naamini ipo Siku tu nitafanikiwa. Kwa sasa huwa najihusisha tu na Kazi za Miradi ya Kiutafiti pale ambapo huwa zinatokea ili kujipatia Kipato kidogo. Sina Mke wala Mtoto na Mahusiano yoyote kwa sasa.

Nimeweka ukweli wangu wote wa Kiwasifu hapo juu ili kurahisha kujibu maswali yenu hivyo naamini yule ambaye atapendezwa nami na atanitafuta kwa nia ya dhati kabisa basi atakuwa ameshajua kila kitu kuhusu mimi hivyo kitakachobaki ni Yeye tu kufanya maamuzi yake sahihi Kwangu.

Sina tatizo kuhusu Dini ya Mwanamke yoyote atakayejitokeza ila muhimu ni awe tu na nia ya kweli na upendo wa kweli nami. Sijataka Kudanganya lolote kuhusu Mimi bali nimeamua kuweka wazi kila kitu ili yule ambaye atapenda Mimi Walter Frank niwe wake wa Kimaisha aweze Kufahamu mapema na ajue anaanzisha Mahusiano na Mtu wa aina gani.

Nakaribisha Mwanamke wa Kitanzania anayetoka katika Mkoa wowote wa Tanzania na hata yule aliyeko nje ya mipaka ya Tanzania. Sina Kikubwa cha kuahidi zaidi tu ya kusema kwamba kwa yule ambaye atabahatika kuwa nami basi nina uhakika kwamba hatokuja Kujutia kuwa nami ila kikubwa zaidi naamini Mwenyezi Mungu atatufanikisha na tutakuja kuwa na Mahusiano mazuri na ya mfano wa Kuigwa.

Kwa Mwanamke aliye tayari basi anitafute kupitia Anuani Pepe yangu hii ya walterfrank848@gmail.com na itapendeza zaidi kama akiweka pia na namba yake ya Simu ili maongezi mengine yaendelee na tukiridhiana basi tuweze kufikia lengo. Naamini hakuna linaloshindikana na ni matumaini yangu makubwa kwamba Rafiki, Mchumba na Mke wangu mwema atatokea hapa na nitarejea tena hapa hapa kuleta Kwenu mrejesho.
 
Hahaaaaaaa hebu unga dot.
Genta hua ni mchambuaji sana wa masuala ya habar,genta ni mkatoriki,genta hua anajisifu kua kaishi zaidi ya miongo 3
Ngoja siku nikanywe konyagi zangu nitamfuata pale Tv E.....

Atachezea vitasa......
 
Ni jasusi wa kirwanda kwa mujibu wake
Upuuzi yule ni mwandishi wa Habar pale
Tv E

Akusanye vitoto vya chekechea awaambie izo mambo

Ah ah ah ah tangu lin jasus likasema mambo yake hadharan ah ah ah ah

Jamaa niache bhana nipo lindo alafu kuna mmbu kisengeeeeeh
 
Upuuzi yule ni mwandishi wa Habar pale
Tv E

Akusanye vitoto vya chekechea awaambie izo mambo

Ah ah ah ah tangu lin jasus likasema mambo yake hadharan ah ah ah ah

Jamaa niache bhana nipo lindo alafu kuna mmbu kisengeeeeeh
Hahaaaa ulijuaje ni mwandishi
 
Upuuzi yule ni mwandishi wa Habar pale
Tv E

Akusanye vitoto vya chekechea awaambie izo mambo

Ah ah ah ah tangu lin jasus likasema mambo yake hadharan ah ah ah ah

Jamaa niache bhana nipo lindo alafu kuna mmbu kisengeeeeeh
Mzee mmbu wanakutafuna kama hawana akili vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…