nina miaka 27 umbo la kibantu,maji ya kunde nina mtoto mmoja niliachana na mzazi mwenzangu miaka 4 iliyopita nina degree moja nimeajiriwa na serikal pia ni mjasiria mal mwanaume yeyote single fathers watapewa kipaumbele awe anashunguli ya kujiongezea kipato ani pm