Kwa mwanaume kula udongo kuna madhara yeyote kiafya?

Crispin Nyoni

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
413
Reaction score
90
Nimekuwa napendelea sana kula udongo ule waliojenga mchwa kwenye miti. Nauona unanoga sana. Kuna madhara yeyote nikiula?
 
Yapo ofu kozi.
Apendkisi, minyoo, kukabwa choo(constipation).

Si bure una uoungufu wa madini ya chuma, kazana kula dagaa, maini na maziwa.

(on a serious note, unamimba ya miezi 6, au mchepuko wako)
 
Mkuu mjomba Kongosho mimi ni mwanaume. Kwani mwanaume anashikaga mimba penyewe hapo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mjomba Kongosho mimi ni mwanaume. Kwani mwanaume anashikaga mimba penyewe hapo?

Yeah wanashika mimba, ila unazaa kwa oparesheni, hongera sana kaka, akiwa baby boy mwite Mizengo, akiwa baby girl mwite faizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Naona unamtafuta faiza foxy, mie simo

Yeah wanashika mimba, ila unazaa kwa oparesheni, hongera sana kaka, akiwa baby boy mwite Mizengo, akiwa baby girl mwite faizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…