MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Juzi nilisoma sehemu kwamba Magufuli amezima mikutano yote ya kisiasa Tanzania, na yeyote atakayethubutu atakiona. Hapo nikajikuta nawahurumia Wabongo, nikaona kama watu wanaoishi kwenye mateso sana kiasi kwamba hata pa kupumulia hamna, na bado wako nyuma sana kidemokrasia.
Lakini baada ya matukio ya hivi majuzi hapa kwetu, nimeanza kuona mantiki ya Magufuli. Wanasiasa wetu wamepitiliza mipaka, kila yeyote akipata fursa ya kipaza sauti anaongea pumba na uchochezi wa hali ya juu.
Demokrasia na uhuru wa maoni ni jambo nzuri kwenye nchi yoyote ile, lakini vyote vina mipaka. Sasa hapa unakuta hao hao wanasiasa wakichukuliwa hatua, wanawachochea wafuasi wao na kuzua vurugu.
Hivi Afrika tupo tayari kwa demokrasia kweli, tunaelewa uhuru wa maoni?? Kwa usalama wa taifa na ushikamano, labda tuige Tanzania na kukubali kukandamizwa, japo Wakenya kama navyowafahamu hapo utakua unajipalia mkaa, ni vigumu kukaliwa. Ni maoni yangu tu, nawasilisha.
"When we air our views in parliament we are thrown out. Outside parliament, our rallies are banned," Zitto Kabwe, leader of the opposition ACT Wazalendo party, tweeted.
Tanzania police uses teargas at opposition rally, bans protests