Kwa mwendo huu, mpaka kufika 2025, mfumuko wa bei unaweza kuwa haushikiki na unaweza kuigharimu vibaya CCM

Kwa mwendo huu, mpaka kufika 2025, mfumuko wa bei unaweza kuwa haushikiki na unaweza kuigharimu vibaya CCM

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301


Bei ya nyama kwenye mji wa Mtwara manispaa ya Mtwara/Mikindani imepanda ghafla kutoka shilingi 8,000 kwa kilo ya nyama mchanganyiko hadi shilingi 9,000, nyama ya steki toka shilingi 10,000 hadi 12,000 kwa kilo moja.

Image
 
Mkuu wewe Tanzania umeingia lini? CCM walikwisha tegemea kura zetu lini?
Ni kweli unachosema, ila uhalisia watauona tu kwenye kampeni na hii ndio huwa hofu yao kubwa.

Hofu yao huwa ni reaction ya umma kwenye kampeni na sio kutotangazwa washindi kwani tume hii ni yao.
 
Wako wanatoa pole kwa wananchi kukosa mvua. Na kuaangika na dawa za kienyeji kubaki madarakani.

Wengine hadi wanavaa nguo mfanano na waganga
 
Back
Top Bottom