S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Jan 22, 2022 #1 Bei ya nyama kwenye mji wa Mtwara manispaa ya Mtwara/Mikindani imepanda ghafla kutoka shilingi 8,000 kwa kilo ya nyama mchanganyiko hadi shilingi 9,000, nyama ya steki toka shilingi 10,000 hadi 12,000 kwa kilo moja.
Bei ya nyama kwenye mji wa Mtwara manispaa ya Mtwara/Mikindani imepanda ghafla kutoka shilingi 8,000 kwa kilo ya nyama mchanganyiko hadi shilingi 9,000, nyama ya steki toka shilingi 10,000 hadi 12,000 kwa kilo moja.
Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,051 Jan 22, 2022 #2 Mkuu wewe Tanzania umeingia lini? CCM walikwisha tegemea kura zetu lini?
K Kiby79 Member Joined Feb 1, 2021 Posts 95 Reaction score 136 Jan 22, 2022 #3 Omusolopogasi said: Mkuu wewe Tanzania umeingia lini? CCM walikwisha tegemea kura zetu lini? Click to expand... Hapo sasa!!na ndio maana ni majeuri sana!!
Omusolopogasi said: Mkuu wewe Tanzania umeingia lini? CCM walikwisha tegemea kura zetu lini? Click to expand... Hapo sasa!!na ndio maana ni majeuri sana!!
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Jan 22, 2022 Thread starter #4 Omusolopogasi said: Mkuu wewe Tanzania umeingia lini? CCM walikwisha tegemea kura zetu lini? Click to expand... Ni kweli unachosema, ila uhalisia watauona tu kwenye kampeni na hii ndio huwa hofu yao kubwa. Hofu yao huwa ni reaction ya umma kwenye kampeni na sio kutotangazwa washindi kwani tume hii ni yao.
Omusolopogasi said: Mkuu wewe Tanzania umeingia lini? CCM walikwisha tegemea kura zetu lini? Click to expand... Ni kweli unachosema, ila uhalisia watauona tu kwenye kampeni na hii ndio huwa hofu yao kubwa. Hofu yao huwa ni reaction ya umma kwenye kampeni na sio kutotangazwa washindi kwani tume hii ni yao.
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Jan 22, 2022 #5 Wako wanatoa pole kwa wananchi kukosa mvua. Na kuaangika na dawa za kienyeji kubaki madarakani. Wengine hadi wanavaa nguo mfanano na waganga
Wako wanatoa pole kwa wananchi kukosa mvua. Na kuaangika na dawa za kienyeji kubaki madarakani. Wengine hadi wanavaa nguo mfanano na waganga
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jan 22, 2022 #6 Salary Slip said: Click to expand... Huo uchaguzi kwani kura zenyewe hata wanamusa wa kuzihesabu?
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Jan 22, 2022 #7 Salary Slip said: Ni kweli unachosema, ila uhalisia watauona tu kwenye kampeni na hii ndio huwa hofu yao kubwa. Hofu yao huwa ni reaction ya umma kwenye kampeni na sio kutotangazwa washindi kwani tume hii ni yao. Click to expand... Wala hio haiwatishi tena.
Salary Slip said: Ni kweli unachosema, ila uhalisia watauona tu kwenye kampeni na hii ndio huwa hofu yao kubwa. Hofu yao huwa ni reaction ya umma kwenye kampeni na sio kutotangazwa washindi kwani tume hii ni yao. Click to expand... Wala hio haiwatishi tena.