Kwa mwendo huu, nahisi Idris Sultani atafulia mapema

Kwa mwendo huu, nahisi Idris Sultani atafulia mapema

okoyoko

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
2,664
Reaction score
3,641
Hellow

Kuna fununu kuwa Idris Sultan anatoka kimapenzi na Wema Sepetu, na kama tunavojua wadau Wema Sepetu anachotaka huwa ni pesa tu (ukiangalia dating history yake)

Pia inasemekana sahiv dogo anamiliki BMW na kumaintain iyo gari c pesa ndogo

Kwa mwendo huu cdhani kama ile million 500 itafika mbali, cjui lakini
 
Attachments

  • wema-na-idriss-insta.jpg
    wema-na-idriss-insta.jpg
    33.4 KB · Views: 3,168
Tunamkaribisha kwa waliofulia, tuna picha kibao za maisha ya anasa tuliyofanya na masupastaa wengi!! Lakini hata kumi sasa hivi hatuna, tunalazimisha kuvaa mayenu wakati kitambi kilishaporomoka na tumbo karibu linaungana na mgongo kwa kukosa lishe.
 
Hahahahahaaa uwiiiiiiiii!
 
Ila kusema la ukweli Idriss ni super handsome,smart.....
Yuko vizuri,nilicheki ile interview yake kwenye mkasi j3 alitokelezea sana.
Kuhusu kufulia atajijua mwenyewe,akijidai mfalme wa bata mjini hapa huku hana mradi wowote wa kumuingizia pesa imekula kwake.
 
Hila ana akili za kitoto sana anazidisha sana ucommedy...
 
Kwa raha zake .. Wamefulia wenye hela Kweli seuze yeye....
 
Umekuja na wrong facts, hilo la kutoka na sepenga si kweli. Vile vile ile BMW aliokuwa nayo c hzo unazodhani unakuta mile age 0( if you knw what I mean). Pili her mom ni smart so alimake sure dogo ana invest. Kitu ambacho atafulia au unaporomoka ni umaarufu wake(fame). Baada ya mwaka, unless a come up with something entertaining( comedy aache, cause c mzuri) but in the next 1 to 2 yrs, watu watamsahau
 
Back
Top Bottom