Idris si anatoka na Samantha (walikua wote big brother)
hii ya wema sidhani, wema yuko na Luis munana yule mwenye nyusi kama wiper
Hahahahahaaa uwiiiiiiiii!Tunamkaribisha kwa waliofulia, tuna picha kibao za maisha ya anasa tuliyofanya na masupastaa wengi!! Lakini hata kumi sasa hivi hatuna, tunalazimisha kuvaa mayenu wakati kitambi kilishaporomoka na tumbo karibu linaungana na mgongo kwa kukosa lishe.
Hila ana akili za kitoto sana anazidisha sana ucommedy...Ila kusema la ukweli Idriss ni super handsome,smart.....
Yuko vizuri,nilicheki ile interview yake kwenye mkasi j3 alitokelezea sana.
Kuhusu kufulia atajijua mwenyewe,akijidai mfalme wa bata mjini hapa huku hana mradi wowote wa kumuingizia pesa imekula kwake.
Idris si anatoka na Samantha (walikua wote big brother)
hii ya wema sidhani, wema yuko na Luis munana yule mwenye nyusi kama wiper
Idris si anatoka na Samantha (walikua wote big brother)
hii ya wema sidhani, wema yuko na Luis munana yule mwenye nyusi kama wiper
Hila ana akili za kitoto sana anazidisha sana ucommedy...
Hata hivyo ni mtoto bado,hivi yule anazidi 24 kweli?
Haaaaa nyusi kama nini LOL....
Ahahhahah nyusi kama wiper eeeh
Nakwambia lile panki pale juu mxyuuu kama kavaa box ha ha haNa panki kama nini????
Ila hii ya wema na idrissa ni chai