Kwa mwendo huu, Tren ya umeme haitakuwa na tija Tanzania

Kwa mwendo huu, Tren ya umeme haitakuwa na tija Tanzania

NGOSWE2

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
1,323
Reaction score
1,608
Kichwa cha habari chahusika.
.Imenishangaza sana leo kuona tren tuliyoitegemea kuwa italeta ukombozi kwa Watanzania, imekuwa kero kubwa.
Nimeingia kwenye tovuti yao ili nikate tiketi ya Moro to Dsm ya siku kesho jumapili nilichokikuta ni treni imejaa .
Haijulikani wamefunga mabewa mangapi, yanayoonekana ni mawili tu.
.Imenikera sana.
Kwa mwendo huu sijui kama tutafika.
 
Mnafika Chalinze linakatika umeme.. Mnaambiwa mwenden barabarani mnapanda Abood
Bahati mbaya haliendi sambamba na barabara.
Na halitumii umeme peke yake.
 
Kichwa cha habari chahusika.
.Imenishangaza sana leo kuona tren tuliyoitegemea kuwa italeta ukombozi kwa Watanzania, imekuwa kero kubwa.
Nimeingia kwenye tovuti yao ili nikate tiketi ya Moro to Dsm ya siku kesho jumapili nilichokikuta ni treni imejaa .
Haijulikani wamefunga mabewa mangapi, yanayoonekana ni mawili tu.
.Imenikera sana.
Kwa mwendo huu sijui kama tutafika.
Treni lazima ihujumiwe
 
Kuna watu wamewahi mapema kukaa Siti ya dereva
 
Back
Top Bottom