Hili sina haraka nalo. Nitapanda influencers wakishapumzika.Ww elewa kuwa imejaa, subir baada ya miezi sita utajikuta mwnyw kwenye behewa
Sasa hapo unajikuta mwnyw kwenye behewa, unawahi zako kukaa siti ya dirishani 😂Hili sina haraka nalo. Nitapanda influencers wakishapumzika.
Mnafika Chalinze linakatika umeme.. Mnaambiwa mwenden barabarani mnapanda AboodSasa hapo unajikuta mwnyw kwenye behewa, unawahi zako kukaa siti ya dirishani 😂
Hii raha yake umeme ukatike Morogoro kwenye mapori kabla ya kufika StandMnafika Chalinze linakatika umeme.. Mnaambiwa mwenden barabarani mnapanda Abood
Ni hybrid ?Bahati mbaya haliendi sambamba na barabara.
Na halitumii umeme peke yake.
Treni lazima ihujumiweKichwa cha habari chahusika.
.Imenishangaza sana leo kuona tren tuliyoitegemea kuwa italeta ukombozi kwa Watanzania, imekuwa kero kubwa.
Nimeingia kwenye tovuti yao ili nikate tiketi ya Moro to Dsm ya siku kesho jumapili nilichokikuta ni treni imejaa .
Haijulikani wamefunga mabewa mangapi, yanayoonekana ni mawili tu.
.Imenikera sana.
Kwa mwendo huu sijui kama tutafika.
Deasel = Diesel.Inatumia deasel au umeme
Sasa jibu ,katiyakeDeasel = Diesel.
🤣🤣🤣Mnafika Chalinze linakatika umeme.. Mnaambiwa mwenden barabarani mnapanda Abood