Pre GE2025 Kwa mwendo huu wa CCM na serikali kujitaja maovu yao, Wapinzani jipangeni 2025

Pre GE2025 Kwa mwendo huu wa CCM na serikali kujitaja maovu yao, Wapinzani jipangeni 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
1,834
Reaction score
4,161
Ndugu zangu,

Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini haki yenu coz kwa kukaa kimya mnawapa vichwa hao wanaofanyia dhulma.

Fanyeni mpango kuhakikisha kura zenu hazichakachuliwi, hamasisheni wanaosapati itikadi zetu hawabanduki vituoni mpaka haki itendeke. Vinginevyo kwa mwendo huu ni kutwanga maji kwenye kinu.

Nawasilsha.

Soma Pia: DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
 
Back
Top Bottom