Hakika ukifikishwa ktk kituo kidogo cha polisi Lamadi wilayani Magu mkoani Simiyu, uwe na kosa kubwa au dogo utakutana na mkuu wa kituo hicho ambaye kashapewa jina la "laki" kutokana tabia yake ya kuomba rushwa ya Laki pasipo kuangualia uzito wa kosa.
Ni maombi yangu kwa takukuru kuangalia je jeshi hili lina ukweli kwenye makosa haya kwa raia.