Kwa mwendo huu wa Zahera wanayanga tujiandae kisaikolojia

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Ukweli unauma wanayanga wenzangu na nilazima usemwe
1. Hajashinda mechi hata moja ya kimashindano
2.anadai wachezaji hawajapata phisic
3.anawabeza wachezaji jana anasema wanacheza ovyo wakati amewasajili mwenyewe
4.anatoa visingizio vya uwanja mbovu utadhani timu pinzani ilikuwa uwanja mwingine
5.Kiburi na kuongea na vyombo vya habari wakati wote vimemtawala.
Najiuliza maswali je wakati WA mashindano ndo wakati WA kujenga physic ya wachezaji? je anataka na ss mashabiki tuwalaumu wachezaji? je timu inapokosa muunganiko ni kosa la wachezaji au kosa la kocha. Kuna wachezaji pale kasajili unaona kabisa hawana msaada sasa nani alaumiwe.
Ushauri:Benchi la ufundi mshahurini kwani msipofanya hivyo mapema nyote mtaangukia pua yetu macho tusubiri lawama zaid na zaid kutoka kwa huyu Zahera
 
wewe simba yanga umefuata nn?
 
Mimi ni mmoja wa watu ambao jana nimeulewa sana Zahera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…