The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Haya mambo ya kukatika kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano.
Tunaotegemea umeme kwa majukumu yetu ya kila siku, imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho shughuli zetu zinaathirika sana.
Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna usimkumbuke Magufuli, maana alikomesha kabisa habari za kukatika ovyo umeme.