The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Haya mambo ya kukatika Kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano. Tunaotegemea umeme Kwa majukumu yetu ya Kila siku imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho shughuli zetu zinaathirika sana.
Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna usimkumbuke magufuli maana alikomesha kabisa habari za kukatika hovyo umeme.
Hakuna ambaye anaweza kumkumbuka jpm kamwe. Ni aheli umeme kukatika ni swala la mda tu kuliko kuokotwa mizoga ya watu waliuawa kila Kona eti hutaki yeyote akukosoe. Na ikumbukwe tatizo lilopo sasa na jpm aliyelitengeneza kwa kutofanya matengenezo ya kitambo nchi nzima na ikumbukwe mvua hazinyeshi pia. Sidhani Kama Samia anaweza force mvua zinyesheHaya mambo ya kukatika Kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano. Tunaotegemea umeme Kwa majukumu yetu ya Kila siku imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho shughuli zetu zinaathirika sana.
Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna usimkumbuke magufuli maana alikomesha kabisa habari za kukatika hovyo umeme.
Hivi Kumkumbuka huwa ni tishio kwa nani? Sidhani kama kumkumbuka kutaleta umeme.Haya mambo ya kukatika Kwa umeme tulishayasahau tangia mwanzoni mwa utawala wa awamu ya tano. Tunaotegemea umeme Kwa majukumu yetu ya Kila siku imekuwa shida kubwa sana kwa kiwango ambacho shughuli zetu zinaathirika sana.
Kwa hali ilivyo sasa hakuna namna usimkumbuke magufuli maana alikomesha kabisa habari za kukatika hovyo umeme.
unaandika huu utumbo halafu unamtumia shaka hamdu screenshot kama ushahidi akulipe elfu tatu yako.Hakuna ambaye anaweza kumkumbuka jpm kamwe. Ni aheli umeme kukatika ni swala la mda tu kuliko kuokotwa mizoga ya watu waliuawa kila Kona eti hutaki yeyote akukosoe. Na ikumbukwe tatizo lilopo sasa na jpm aliyelitengeneza kwa kutofanya matengenezo ya kitambo nchi nzima na ikumbukwe mvua hazinyeshi pia. Sidhani Kama Samia anaweza force mvua zinyeshe