Kwa mwenye feni aina ya LOFIDA (mpya au used) tuongee biashara

Hot27

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
447
Reaction score
783
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji feni aina ya LOFIDA mfanano kama hio pichani.

Kwa mwenyenayo naomba tuweze zungumza na kuelewana. Mimi nipo Buguruni, Dar es salaam.
 
Ni kwamba umeharibu feni ya watu na mwenyewe anataka umrudishie feni kama hiyo hiyo! Au aina hiyo ya feni ni imara na nzuri sana!! I wish ungefunguka kidogo ili na sisi tupate mwanga. Kwa nini Lofida?
 
Sijaharibu feni ya mtu bali ni feni nzuri sana kimuonekano na ni imara pia ndiomaana nimeiulizia ili niweze kuipata.
 
Sijaharibu feni ya mtu bali ni feni nzuri sana kimuonekano na ni imara pia ndiomaana nimeiulizia ili niweze kuipata.
Kasake model hii pia ya dolphin utanishukuru G - 4035R hutojutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…