Kwa majina kamili naitwa FRANK JOSEPH JOSEPH nimemaliza elimu ya ualimu katika chuo cha ualimu tarime na kutunukiwa DIPLOMA YA UALIMU WA ELIMU YA AWALI nimeiva vizuri sana na vyeti vyote ninavyo hivyo natafuta nafasi ya kufundisha aidha mtoto mmoja au wengi popote nitafika kwa muda muafaka KWA MZAZI ANAYEHITAJI KUFUNDISHIWA MTOTO NYUMBANI KWA MUDA WA ZIADA awasiliane nami kwenye namba 0742703100 nipo banana