Nadhani sio hiyo,,hyo 48 inadili zaidi na mifupa,,kuna details chache google lkn hakuna taarifa za upatikanaji wakeNaijua Omega Seven Seas, inafanya kazi ya kumaintain kumbukumbu, kulainisha viungo, kuimarisha mifupa na ina fat. Mabaunsa hua wanaitumia hii.
Sijajua kama ndiyo unayoimaanisha hapa.
Kama upo Dar tembelea maduka kama Faru Pharmacy, Mwananyamala, na Nakiete, Mwenge. Unaweza kugewa alternative yake au ukaikuta yenyewe.Nadhani sio hiyo,,hyo 48 inadili zaidi na mifupa,,kuna details chache google lkn hakuna taarifa za upatikanaji wake