Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

Status
Not open for further replies.
Wewe unaharaka ya wapi...subiri bhana tumalizie kupanga shule yakwanza kitaifa,kimkoa kiwilaya,kikanda,kitarafa,kiwilaya mpaka ya mwisho au una dhani nikazi rahisi?
Haya jumatatu tuna kuwekea mtandaoni na kutangaza kabisa halafu tuna kuongezea na muda wa kujisajiri sawa?
 
hakukua na umuhimu wowote kufungua new thread bwana bwana mdogo..... Kama uliweka jiwe utalikuta jiwe, huwezi kukuta mkate......
 
Watu mna presha lol,na hayatok mpaka mwaka kesho
 
jamani matokeo ya kidato cha nne 2013 2014 yanatoka lini tafadhalin naombeni kujua kama kuna mwenye taarifa
 
jamani matokeo ya kidato cha nne 2013 2014 yanatoka lini tafadhalin naombeni kujua kama kuna mwenye taarifa


Mara ya mwisho umetembelea lini kwenye website ya NECTA?

Mkuu, amini sana taarifa zinazowekwa ktk website ya NECTA.
 
jamani matokeo ya kidato cha nne 2013 2014 yanatoka lini tafadhalin naombeni kujua kama kuna mwenye taarifa

Wakati mwingine mnatafuta kudanganywa tu....Matokeo sio Siri yakitangazwa Utajua tu...
Subiria vyombo vya habari vitatangaza
 
Kwa sasa CA tumeisha zimaliza
ila utata ni mwingi sana jaribuni kupunguza jazba
.
Tatizo lililopo ni Server zetu zina Jam kutokana na wingi wa watu wanaotembelea website yetu wakati matokeo bado..
.
Tunaweza kuzi shutdown leo usiku ili tuyalekebishe mambo...
Ndani ya wiki ijayo waeshimiwa mtafurahi wenyewe haitafika juma 5
.
Ahsante
cheti kilichopotea wasilisha
vyeti@necta.go.tz
 
muda bado! kwani mtihani mlichelewa kufanya,kwa hyo mwezi wa tatu yatatoka badala ya mwezi wa pili!.
 
kuwa na subira! mwezi wa tatu,kitu kitakuwa naked,mbona mtihani pia mlichelewa kufanya?xo subirini
 
matokeo tayari lakini waziri amesahau passward za kuyafungua sasa inabidi warudie ku save upya mpaka mwezi wa nne mwanzoni katibu ameyasema hayo leo kwenye taarifa ya habari ilikua yatoke tar 19
 

mkuu taarifa zako zina mashiko na nazielewa ila ningependa kujua "source" na kama nawe unahusika so mbaya ukaendelea kutu-updates yanayojiri hadi nukta ya mwisho.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…