Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

Status
Not open for further replies.
niaminini mimi yanatangazwa kesho usiku kama hamtaki basi
 
Mwenye tetesi za lini matokeo ya kidato cha nne 2013 yanatoka atupie basi,wadogo zetu presha. Isije kuwa kama 2012 jama. Au ndo brn???!!!!
 
mwambie mdogo wako atafute ishu ya kufanya haya matokeo sio ya kuyapapatikia unaweza ukajuta kwanini yametoka!"
 
Kijana atulie matokeo lazima yatoke ... Utapata ulichopanda tu hamna kitu kingine ... So atuliE
 
Poleni sana wanajf kwa kusubiria matokeo...endeleeni kusubiria kwa sababu kazi bado ni kubwa sana...tatizo linalosababisha matokeo kuchelewa ni CA...shule nyingi zimetuma ca ambazo haziendan na hali halisi ya mwanafunzi...mitihani ilisahihishwa vizuri tu,sasa tatizo ni zile 40% za CA...kinachofanyika sasa ni kukadilia alama izo kwa kuangalia mtihan wa mwisho...wanafunzi wote waliofanya vizuri mtihani wa mwisho yan wale waliopata A na B,hawajawekew CA...waliopata kwanzia C,D,E na F,ndio imebidi kuanza kukadilia izo CA...kilichopo nikua serikali ilikurupuka juu ya 40% za CA kwani inavyoonekana matokeo yameshindwa kusadifu hali halisi...elimu yetu inateketea hivi hivi wasomi wetu wakiangalia...mwisho nawapongeza wahitimu wote...tumejitahidi kufuta izo zero..UFAURU UMEONGEZEKA...REKODI IMEVUNJWA 85%...wanasiasa wanafurahi...asanten
 
Waziri wa Elimu Mh,SHUKURU KAWAMBWA alikua anahojiwa na Radio amesema matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2013 yako tayari na muda wowote kuanzia kesho(wiki ya mwisho February) yatatangazwa.
 
atleast wadogo zetu watapumua,maana wana presha mpaka bac utafikir wanasubir matokeo ya HIV.
 
Mbona uandishi wako unaonekana nawe kama ni miongoni mwa watahiniwa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…