Kwa mwenye ufaham kuhusu Toyota AVENSIS, naomba majibu tafadhali

Avensis Toyota imetoa license kwa kampuni ya Kiingereza hivyo hiyo gari ina european standards (Ngumu sana) baadhi ya spare zake kupatikana ni issue + ukipoteza funguo inabidi uagize Toka kwa manufacturer
 
Siyo kweli. Kuna Avensis kwa ajili ya soko la Ulaya na Japan.
 
Back
Top Bottom