encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 515
- 405
Wapendwa ningependa kufaham kuhusu watu wanaofanya biashara kama distributors wa makampuni ya vinywaji kama vile cocacola, pepsi and the like, kuwa;
1. Wanafaidikaje?
2. Risks zilizopo kwenye hiyo biashara or SWOT analysis yake
3. mchanganuo wa biashara hiyo.
Kwa sasa nafanya biashara ya kusambaza dagaa na samaki kutoka Mwanza, nina business plan ambayo nimeandika kwa ajili ya kutafuta funds za kukuza biashara yangu lakini nimejfikiria risks zilizopo kwenye kuweka mtaji mkubwa kwenye biashara ya samaki na dagaa ni kubwa zaid, hivyo nimeona nitafute biashara nyingine ambayo nitaifanya kwa pamoja na biashara yangu ya sasa.
Pia kwa atakaye kuwa na wazo la biashara litakalohitaji mtaji wa mil 1 had 5 naomba anisaidie kupanua fikra zangu katika biashara.
NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI........