Hana. Lakini unaweza kusaidia kwa kujibu hata mwenye hiyo experience ya miaka 5 anaweza kulipwaje, na less ya 5yrs anaweza kulipwaje ili apate mliganyo.Kabla ya kuuliza mshahara, unaworking experience ya over 5 five years?
Kama huna hili swali lako ni batili
Labda kwa seniors.azam tv mshahara 4.7m
Inawezekanaje huyu anayelipwa hiv akipata uteuzi wa kuwa DAS tu anachachawa Sana??Hapa kwetu 5milioni.
Hivi huwa na mikataba rasmi au ndio Kama vibarua tu?? Hii ya kutolipwa kwa muda fulani huwa naisikiaga sana lakini sijawahi kuelewa inakuaje mtu mwenye mkataba asilipwe miez kadhaa na anaendelea na kazi tu?? Anawezaje kujikimu? Kwann hashitaki??Kikubwa awe a sehm ya kula awa jamaa mishaara awalip mpka miez 3 na point
Hiyo hipo mkuu wanakuambia tutakulipa sasa utafanyeje?Hivi huwa na mikataba rasmi au ndio Kama vibarua tu?? Hii ya kutolipwa kwa muda fulani huwa naisikiaga sana lakini sijawahi kuelewa inakuaje mtu mwenye mkataba asilipwe miez kadhaa na anaendelea na kazi tu?? Anawezaje kujikimu? Kwann hashitaki??
Ila sekta binafsi kuna madudu mengi Sana, na haina mtetezi. Ukiongea kidogo unaambiwa acha kazi. Serikali inatakiwa kuangalia upya hapaHiyo hipo mkuu wanakuambia tutakulipa sasa utafanyeje?