Director-k
Member
- Mar 12, 2014
- 88
- 26
Ninavutiwa Sana Na Kufanya Biashara 2 Tofauti.
1) Kufungua Huduma Za M-pesa, Tigo Pesa Na Airtel Money Na Kuuza Luku. Lakini Sijui Gharama Zake Na Ni Mtaji Wa Kiasi Gani Unatosha Pia Kuna Changamoto Zipi.
2) Nafikiria Kununua Bajaji Then Nijiajiri Mwenye (niendeshe Mwenyewe) Lakini Sijui Changamoto Zake.
Kwa Mwenye Ufaham Wa Biashara Hizi Tafadhali Anisaidie Mawazo Na Mchanganuo Wake.
NAISHI DAR