Kwa mwenye uzoefu na bishara ya Tax

Kwa mwenye uzoefu na bishara ya Tax

evaluator

Senior Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
181
Reaction score
50
jamani kwa mwenye uzoefu na biashara ya tax,tafadhari anisaidie kujua je inalipa?yaaani hesabu ni shangapi,total kwa mwezi na running cost zikoje on average?inaweza kuyafanya maisha yaendee?

NB😛ia unaweza toa msaada wa aina ya biashara mbadala inayoweza fanywa kwa mtaji wa 20ML.
 
Biashara ya tax sikushauri sana kwa arusha hesabu kwa wiki ya jumatatu to j mos ni 50 elfu jumapili ni general service unaweza ukatumia 15 to 30 elfu kwa servise 1
 
Hii Biashara siku hizi naona imefunikwa na Biashara za Bodaboda na Bajaji, ambazo zimeshusha sana gharama za usafiri wa kukodi..
 
Wakuu Kumbe mnamaanisha Taxi..Lakni nmeelewa.Kama alivyosema Mwanajukwaa mmoja hapo juu.siku hizi Biashara ya Taxi imefunikwa na bodaboda
 
Ni afadhali uiuze hiyo gari yako ununue bodaboda au bajaji kwa ajili ya biashara maana biashara hiyo haitakulipa sana kama bodaboda
 
Jaribu biashara ya noah inalipa sana ,ila ukipata tender za kubeba wanafunz wa nursary .Nakwa (trip town) yaan kubebea abiria kwa cku 30000/ zaid kuhusu tender za wanafunzi nitafute 0657610505 bodaboda zinaibiwa kila siku
 
Back
Top Bottom