Mkuu waraka upo nadhani utawekwa na walio
kuwa nao.Hawa viongozi wetu ndiyo tatizo
unapotaka kubadili mfuko unaambiwa siyo.
Hata waajiriwa wapya baadhi ya sehemu huwa
hawapati hiyo nafasi ya kuchagua zaidi huambiwa tumekuweka mfuko ule.
N:B Nilisikia kuwa mifuko yote hukokota sawa
mafao ya uzeeni je kuna ukweli wowote hapo.
hamna haja ya waraka ndg, muhmu ni sheria ya ajira na mahusino kazini, no. 6 ya mwaka 2004. muonyeshe bosi wako kifungu namba 61 cha sheria hyojamani waungwana hakuna mwenye nao!?