Kwa namna gani naweza kulinda usafi wa Kinywa

Kwa namna gani naweza kulinda usafi wa Kinywa

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Wataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu.

Hapa nazungumzia kuzuia harufu mbaya kinywa, pia naona meno yangu yanaliwa na wadudu na kwa umri huu nilio nao niking'oa jino haliwezi kuota tena

Karibuni wadau nipo hapa kupokea ushauri wenu.
 
Wataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu...
Jiepushe kutumia dawa za meno zenye fluoride Fluoride inaweza kuwa na faida ambayo unaweza kupata katika vyakula bila shaka fluoride iliyo katika Dawa za meno ina baadhi ya madhara ambayo huathiri zaidi kwani ndio rootcause kubwa inaongoza na kuwa act kwa kuongeza idadi ya magonjwa ambayo yanaathiri meno. Dutu hii haiwezi tu kuimarisha enamel, lakini pia kuiharibu.

Bila shaka, fluoride ina jukumu kubwa la kudumisha nguvu ya tishu za mifupa, ukuaji na hali ya meno, nywele na misumari.

Fluoride huathiri mchakato wa kimetaboliki, na kwa hiyo, metali hatari na nzito zinaondolewa bora kutoka kwenye meno haiwezekani kudumisha kinga, na chuma huchomwa zaidi kupelekea kusupport bakteria wanao fanya uharibifu wa meno kwa kiwango kikubwa na kupelekea kutawala kwa matabaka ya bakteria katika ambao huongezeka zaidi wakati wa fracture , bakteria kutoka kwenye plaque laini huathiri zaidi, kama matokeo ya kuvunjika vunjika kwa meno na kuharibika.

Nakuhakikishia ukitumia maelezo hayo kwa ufasaha basi hapana shaka Juu ya hatima ya meno yako
 
Wataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu...
Pia hakikisha unapiga mswaki gradually kila siku na kuondoa taka au mabaki ya vyakula ni muhimu kwa kuwa husaidia katika kuondoa bakteria mdomoni.

Iwapo taka hizo hazitatolewa kinachofanyika taka hurundikana na zinaweza kusababisha kuoza kwa meno na magonjwa ya fizi ni lazima kupiga mswaki angalau mara mbili kwa siku - asubuhi na usiku kabla ya kulala, na miswaki inafaa kubadilishwa baada ya miezi 3-4, usisubiri mpaka mswaki uharibika.

USHAURI ZAID NI PM
 
Hakikisha kuwa unapiga mswaki kila baada ya kula chakula.

Usiku hakikisha ukishapiga mswaki ndo umeshasema hauli tena.

Kupiga mswaki alafu ukala tena na ukaenda kulala bila kupiga mswaki hiyo ni bure tu,lengo ni kuwa kule kupiga mswaki iwe ndo umeshafunga mlo huli tena.

Piga mswaki vizuri,asubihi baada ya kula piga mswaki au kabla ya kula ukiamka.

Mchana ukiwa kwemye harakati zako hakikisha ukimaliza kula unasukutua.

Kwa sisi waislamu wengine kila sala tunapiga mswaki kwa maana sala ni tano,hvyo mswaki mara tano kwa siku tunapigapiga.
 
Hakikisha kuwa unapiga mswaki kila baada ya kula chakula.

Usiku hakikisha ukishapiga mswaki ndo umeshasema hauli tena.

Kupiga mswaki alafu ukala tena na ukaenda kulala bila kupiga mswaki hiyo ni bure tu,lengo ni kuwa kule kupiga mswaki iwe ndo umeshafunga mlo huli tena.

Piga mswaki vizuri,asubihi baada ya kula piga mswaki au kabla ya kula ukiamka.

Mchana ukiwa kwemye harakati zako hakikisha ukimaliza kula unasukutua.

Kwa sisi waislamu wengine kila sala tunapiga mswaki kwa maana sala ni tano,hvyo mswaki mara tano kwa siku tunapigapiga.
 
Wataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu.

Hapa nazungumzia kuzuia harufu mbaya kinywa, pia naona meno yangu yanaliwa na wadudu na kwa umri huu nilio nao niking'oa jino haliwezi kuota tena

Karibuni wadau nipo hapa kupokea ushauri wenu.
sukutua kila baada ya kula, tumia toothpicks, ongea mara kwa mara au vuta hewa na kutoa kwa kutumia mdomo mara kwa mara, kunywa maji mara kwa mara, kunywa maji mara kwa mara pale unapokuwa na maongezi ya muda mrefu, pia throat yako iwe clear muda wote- hakuna nose congestion.
 
Wataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu.

Hapa nazungumzia kuzuia harufu mbaya kinywa, pia naona meno yangu yanaliwa na wadudu na kwa umri huu nilio nao niking'oa jino haliwezi kuota tena

Karibuni wadau nipo hapa kupokea ushauri wenu.
Tafuta dawa ya meno inayoitwa forever toothbrush mimi ilinisaidia na haina fluoride
 
Jamani nimekutana na dada mmoja ivi rafiki mdomonunanuka ka panya ata akipiga mswak dakika iyo iyo bado harufu inatokea loh.....sijui ni msaidiaje aisee
 
Back
Top Bottom