Ila shangazi umeliona jina la mtoa mada [emoji23][emoji23][emoji1787]Safisha meno kila unapomaliza kula na kumbuka kusafisha ulimi pia. Unaweza kusukutua na mouth wash...
Jiepushe kutumia dawa za meno zenye fluoride Fluoride inaweza kuwa na faida ambayo unaweza kupata katika vyakula bila shaka fluoride iliyo katika Dawa za meno ina baadhi ya madhara ambayo huathiri zaidi kwani ndio rootcause kubwa inaongoza na kuwa act kwa kuongeza idadi ya magonjwa ambayo yanaathiri meno. Dutu hii haiwezi tu kuimarisha enamel, lakini pia kuiharibu.Wataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu...
Pia hakikisha unapiga mswaki gradually kila siku na kuondoa taka au mabaki ya vyakula ni muhimu kwa kuwa husaidia katika kuondoa bakteria mdomoni.Wataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu...
sukutua kila baada ya kula, tumia toothpicks, ongea mara kwa mara au vuta hewa na kutoa kwa kutumia mdomo mara kwa mara, kunywa maji mara kwa mara, kunywa maji mara kwa mara pale unapokuwa na maongezi ya muda mrefu, pia throat yako iwe clear muda wote- hakuna nose congestion.Wataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu.
Hapa nazungumzia kuzuia harufu mbaya kinywa, pia naona meno yangu yanaliwa na wadudu na kwa umri huu nilio nao niking'oa jino haliwezi kuota tena
Karibuni wadau nipo hapa kupokea ushauri wenu.
Tafuta dawa ya meno inayoitwa forever toothbrush mimi ilinisaidia na haina fluorideWataalamu naomba mnisaidie ushauri ni kwa namna gani naweza maintain usafi wa kinywa changu.
Hapa nazungumzia kuzuia harufu mbaya kinywa, pia naona meno yangu yanaliwa na wadudu na kwa umri huu nilio nao niking'oa jino haliwezi kuota tena
Karibuni wadau nipo hapa kupokea ushauri wenu.