Kwa namna gani nitamtambua binti aliyewahi kutoa mimba?

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Naomba kujua ni kwa namna gani nitaweza kujua kama aliwahi kutoa mimba kwa kumwangalia, ama kuchunguza. Ni hivo tu, nadhani nitakuwa nimeeleweka wadau.
 
Naomba kujua ni kwa namna gani nitaweza kujua kama aliwahi kutoa mimba kwa kumwangalia, ama kuchunguza. Ni hivo tu, nadhani nitakuwa nimeeleweka wadau.

Ili iweje?
 
ni vyema kumtambua..ili tusiuziane vitu used..Unadhan ulimwengu wa sasa nan anataka second hand af baadae asumbuke......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…