one activist
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 114
- 14
Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemhukumu kifungo cha miaka 6 jela, Abdallah Mzombe (39) baada ya kupatikana na hatia ya kumuibia rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi Sh Milioni 37.4. Speed track ya mahakama za TZ kwa kesi kama hizi imekua ni ya kasi ya ajabu mno, lakini hebu jiulize ni kesi ipi ilitangulia kati ya kesi za EPA za kina JEETU PATEL ambazo hadi leo hatujui zimefikia wapi na ile ya matumizi mabaya ya madaraka ya kina MRAMBA na YONA ambayo hadi leo inapigwa danadana?