Uchaguzi 2020 Kwa namna Jimbo la Misungwi lilivyokosa dira na Mbuge imara, hàkika Mnyeti utatufaa sana

Uchaguzi 2020 Kwa namna Jimbo la Misungwi lilivyokosa dira na Mbuge imara, hàkika Mnyeti utatufaa sana

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Amani iwe nanyi nyote!

Jimbo la misungwi linaundwa na Kata 24 na tarafa kuu nne ambapo jimbo hili kijiografia libapakana na majimbo ya Nyamagana na Sengerema kwa sehemu kubwa ambapo mbuge wake wa sasa ambaye amehudumu kwa miaka kumi mpaka sasa bila kutatua changamoto ni ndugu Charles Kitwanga. Pia, jimbo hili limezungukwa na ziwa Victoria kwa sehemu kubwa.

Matatizo yanayotukabiri wana misungwi in pamoja na:
1. Changamoto ya maji.
2. Huduma hafifu za afya
3. Uhaba mkubwa wa walimu wa sayansi katika shule za sekobdari jimbo la Misungwi
4. Tatizo la uhaba wa vituo vya afya Na huduma kwa kina mama wajawazito.
5. Tatizo la migogoro ya ardhi kutopatiwa ufumbuzi kwa wakati.

Hivyo, kwa unyenyekevu mkubwa nakuomba bwana Alexnda Mnyeti uje utuvushe wana Misungwi. Tumekwama kwa miaka kumi sasa tunasema basi njoo utatue kero za jumbo letu.
 
Naona unajipigia debe.
sasa hapo mnyeti na kitwanga wote ni "maswahiba" wa bwana yule.Patamu hapo
NB:naishia hapo
 
Naunga mkono hoja...Mnyeti namfahamu sana ni mpambanaji anaweza
 
Nadhani sasa sielewi tena!! Waliochagua upinzani wanaambiwa waliokosea kuchagua - wakachagua kutokuwa na maendeleo. Hapo hapo waliochagua CCM bado wanalalamika kukosa maendeleo.

Inawezekana kuwa “maendeleo hayana vyama” ndio kitu sahihi na hapo vyama visichukue lawama wala sifa!!
 
Back
Top Bottom