Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Simba ametoka kucheza na Geita jana, Leo yuko Dar, kesho ana mazoezi alhamisi trh 15 anamalizia raundi ya kwanza na JKT, halafu trh 18 aende Morogoro kwa Mtibwa aanze raundi ya lala salama.
Azam wameshapumzika vya kutosha, Yanga wameshapumzika vya kutosha.
Subirini muone akili za Benchika, mwisho atachezesha mabeki watupu mkifungwa atoe sababu kuwa target yake ni ligi ya mabingwa.
Mipango Mipango mingi ila naona kabisa wenye majini wanaandaliwa kuwa mabingwa.