Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wacha kulialia ndugu yangu; ratiba iko hivyo kwa timu zote zilizokuwa na viporo, inategema viporo vilikuwa vingapi.Simba ametoka kucheza na Geita jana, Leo yuko dar, kesho ana mazoezi alhamisi trh 15 anamalizia raundi ya kwanza na JKT, halafu trh 18 aende Morogoro kwa Mtibwa aanze raundi ya lala salama.
Azam wameshapumzika vya kutosha, Yanga wameshapumzika vya kutosha.
Subirini muone akili za Benchika, mwisho atachezesha mabeki watupu mkifungwa atoe sababu kuwa target yake ni ligi ya mabingwa.
Mipango Mipango mingi ila naona kabisa wenye majini wanaandaliwa kuwa mabingwa.
Mayele kaniangusha sana; nilikuwa namshabikia sana uwanjani na hata huko aliko sasa nilikuwa namtakia mafanikio lakini sikujua kuwa reasoning yake ni ziro kabisa. Ni kweli Mungu hakupi vyote.Usipofanya proper reasoning, ndio mtu huishia hata kuamini uchawi au majini kama Mayelle.
Mwaka jana August, kuna MwanaSimba nilimuambia kuwa huja ubingwa wa NBCPL Ukawa mgumu kwa sababu ya African Football League. Nikimuambia, wakati ratiba ya NBCPL inaendelea kwa timu zingine, Simba atakua AFL itampa mlundikano wa match za Ligi Kuu. Ndio kinachomkuta sasa.
Nyie miamba wa soka afrika bhana, imekuwaje tena?
hahaha. One can be both talented and idiot.Mayele kaniangusha sana; nilikuwa namshabikia sana uwanjani na hata huko aliko sasa nilikuwa namtakia mafanikio lakini sikujua kuwa reasoning yake ni ziro kabisa. Ni kweli Mungu hakupi vyote.
Wengine wenye akili zetu timamu tulishakataa viporo kitambo tu 🔼🔼Viporo havina msaada wowote kwa Simba. Ningekuwa kiongozi wa Simba ningehakikisha mechi zake haziahirishwi hovyo hovyo hata zile zinazoangukia katikati ya mechi za klabu bingwa. Mambo ya kukimbia mechi tuwaachie Yanga.
Kama kuna kiongozi wa Simba anahusika kuishinikiza, kuiomba au kuihonga TFF isogeze mbele mechi zake, huyo mtu hajitambui na hafai kuwa kiongozi wa Simba.
na bado...mpka mnyeSimba ametoka kucheza na Geita jana, Leo yuko Dar, kesho ana mazoezi alhamisi trh 15 anamalizia raundi ya kwanza na JKT, halafu trh 18 aende Morogoro kwa Mtibwa aanze raundi ya lala salama.
Azam wameshapumzika vya kutosha, Yanga wameshapumzika vya kutosha.
Subirini muone akili za Benchika, mwisho atachezesha mabeki watupu mkifungwa atoe sababu kuwa target yake ni ligi ya mabingwa.
Mipango Mipango mingi ila naona kabisa wenye majini wanaandaliwa kuwa mabingwa.