Kwa nchi hii..mimi nitakuwa mkosoaji milele ,kwasababu nimezaliwa kukosoa

Kwa nchi hii..mimi nitakuwa mkosoaji milele ,kwasababu nimezaliwa kukosoa

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Tanzania ni jina ambalo limetokana na nchi mbili yani zanzibar na tanganyika ( kwasasa tanganyika wanatumia sana jina la ubatizo yani tanzania bara). leo nataka tujadili jina ambalo walipendekeza wazee wetu la umoja wa tanzania yani JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, kweli kuna usahihi hapa na kwanini awakusema.

1.jamhuri ya muungano ya tanzania.
2.jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar.
3.jamhuri ya muungano ya watu wa zanzibar na tanganyika.
Binafsi jina la jamhuri ya muungano wa tanzania linamakosa kimaana.

wewe je jina jamhuri ya muungano wa tanzania lipo sahihi....busara yako inaitajika katika hii

Wakati wa katiba inayopendekezwa niliongea hii la jina jumhuri ya muungano wa tanzania kuwa linamakosa wakanisifu tu lakini sijaona chochote kwenye mabadiliko.

KATIBA YA JAMURI YA MUNGANO WA TANZANIA.JPG
 
Ungedadavua kidogo ututoe matongotongo inaonekana unayamanya mambo ya kiswahili
 
Back
Top Bottom