kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Hizi Tozo zimeongeza ugumu wa maisha. Imekua kero juu ya maisha magumu ya utafutaji.
Ingekuwa inchi zinazojielewa kama zambia, malawi, kenya nk CCM ingechomolewa madarakani comes 2025 election.
Ikumbukwe kwamba hata inchi zilizo mbele Kwenye siasa/mfumo wa vyama vingi. Vyama tawala huondolewa madarakani kwa Makosa madogo madogo.
Tatizo Tanzania watu hawajielewi. inchi kamilikishwa/ kamilikishwa ccm. Wanadiriki kutuambia tuhamie burundi. Ajabu sasa.
Subiri uchaguz wa 2025 . Haaa wanaolalama sasa wataipigania ccm ibaki madarakani kwa malipo ya vitu vidogo vidogo t-shirt, khanga, chumvi ,sukari nk. Very sad. Hadi polis na idara za usalama utaona kwa promise binafsi.
Ingekua hizo inchi wanaojitambua ccm ingeamhulia patupu come 2025 election. Waje wengine waongoze kwa weledi.
Matokeo yake CCM wanajifanyia watakavyo.