Imany John JF-Expert Member Joined Jul 30, 2011 Posts 2,935 Reaction score 1,185 Aug 8, 2011 #21 hahahaha Watu hawachelewi kusema USIOE MWANAMKE WA KIZUNGU. Mana wakurya tumeshambiwa hawafai.
FiQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 477 Reaction score 76 Aug 8, 2011 #22 Sasa hapo si bora ukalale ukumbini tu, kuna hajagani ya kulala nae,
doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,706 Reaction score 2,861 Aug 8, 2011 #23 Hizo zana za kujikinga na wanaume wanaowabaka wake zao, wizara husika ingeziagiza kwa wingi, na kuzigawa bureee!
Hizo zana za kujikinga na wanaume wanaowabaka wake zao, wizara husika ingeziagiza kwa wingi, na kuzigawa bureee!
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,858 Reaction score 23,768 Aug 8, 2011 #24 kazi ipo hapo... wamekula kiapo kuvumiliana ktk shida na raha......
tama JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 602 Reaction score 71 Aug 8, 2011 #25 Ndoa hiyo ni kiboko,ila jamani hizi kuta za pembe nne zina mambo ukichunguza ndani zikoje ni balaa
S sixhrz Member Joined Aug 7, 2011 Posts 5 Reaction score 0 Aug 8, 2011 #26 yeeeeeeaaaah kazi kweli kweli hiyo... talaka tatu