ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 219
...loh jf bhana...? Siamini...!
Maana ONDOKA ZAKO HAPA au Acha Hizo next Njoo ule vya nduguNaombeni tafsiri ya sentensi hii 'Vukami aha! Nzo ule washe wandungu'. Kuna mtu kanitumia ni demu wangu sasa sijaelewa
Maana ONDOKA ZAKO HAPA au Acha Hizo next Njoo ule vya ndugu
Naombeni tafsiri ya sentensi hii 'Vukami aha! Nzo ule washe wandungu'. Kuna mtu kanitumia ni demu wangu sasa sijaelewa