na wewe kwa nn ujirembe na make up, zigo hilooo! mizinga ndo usiseme, harafu hujui kukatika!Unalikuta njemba limefuga ndevu kama beberu lkn wakimtwanga ngumi mbili tu za pua anatokwa na machozi kama toto la kike!, sasa kuna haja gani ya kufuga ndefu zote hizo? Chozi linapendeza likitiririka kwenye sura laini kama kalio na sio sura yenye madevu pomoni.
Mzee una maneno sanana wewe kwa nn ujirembe na make up, zigo hilooo! mizinga ndo usiseme, harafu hujui kukatika!
Unalikuta njemba limefuga ndevu kama beberu lkn wakimtwanga ngumi mbili tu za pua anatokwa na machozi kama toto la kike!, sasa kuna haja gani ya kufuga ndefu zote hizo? Chozi linapendeza likitiririka kwenye sura laini kama kalio na sio sura yenye madevu pomoni.