Kwa niaba, anahitaji chumba cha kupanga

Foxhunters

Senior Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
160
Reaction score
108
Kuna ndugu yangu anatafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwasenga, Businde. Ndani ya manispaa ya Kigoma Ujiji. Chumba kiwe kikubwa tiles, gypsum, maji na umeme.

Kukiwa na geti ni sifa kubwa pia.

Kiwe single au chumba na sebule bado kinafaa njoo na offer yako hapa hapa madalali kaeni pembeni.

Natangulia shukurani
 
Huwezi kupata chumba cha aina hiyo kigoma! Kamuulize hata Zito Kabwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…