Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Dah!!!! Jamaa mama wale wa dada wa uswahilini yani kama angekuwa mwanamke sijui ingekuwaje? Uraia no mwingereza ila kiswahili kama chote. Kanywa pombe zote kuanzia bia, ulanzi mpaka mbege. Wale wenzangu namie ambao tukisafiri week moja turn kwenda nje ya nchi tukiludi kiswahili tumekisahau mpo hapo? Jamaa anasema japo juzi wakati wa mechi ya stars zidi ya senegal kenya na tanzania tulikuwa kitu kimoja ila kesho hzo habari hazipo kabisa kenya wajiandae maana tutawakunguta kwelikweli.