kwa nilichokiona leo hii nchi kwenye sekta ya michezo tumelaaniwa!!

kwa nilichokiona leo hii nchi kwenye sekta ya michezo tumelaaniwa!!

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Posts
6,016
Reaction score
5,296
Leo nilibahatika kuangalia mechi ya mtibwa sugar ya confederation cup(caf)kupitia azam TV..kiukweli nimeshangaa sana,yani imekuaje hawa mtibwa wacheze mexhi kubwa kiasi hiki!?kwani yanga hawapo Kwa mtindo huu hatutafika mbali,nawalaumu tff Kwa kuwapendelea mtibwa na kuwaacha yanga Africa timu ya wananchi!!
 
Alicheza leicester city uefa unashangaa mtibwa kucheza michuano iyo
 
Hahahah Wew mwenyew n miongon mwa watu wasiojua michezo
 
Back
Top Bottom