Leo nilibahatika kuangalia mechi ya mtibwa sugar ya confederation cup(caf)kupitia azam TV..kiukweli nimeshangaa sana,yani imekuaje hawa mtibwa wacheze mexhi kubwa kiasi hiki!?kwani yanga hawapo Kwa mtindo huu hatutafika mbali,nawalaumu tff Kwa kuwapendelea mtibwa na kuwaacha yanga Africa timu ya wananchi!!