Uchaguzi 2020 Kwa nilichokiona Mbeya Town, Sugu nakuomba urudi kwenye muziki wa kufoka foka, Dr. Tulia atakulaza asubuhi sana

Wewe ni wa kuhurumiwa
 
Tulikupenda sugu ila mungu ametupenda zaidi kutupa tulia ackisoni. Mungu akuweke sugu pema kwenye kufoka kwenye hoteli yako.
 
asante kwa huu ushahidi solid kwa ajili ya kusaidia mchakato kule TAKUKURU wakati utapowadia.
 
huwezi zuia destiny ya mtu utakuwa unafukuza upepo tu.oya mwanangu Sugu kama ipo ipo tu.Kama Mungu alikufanikisha ukaenda mamtoni,ukauza copy nyingi,ukachaguliwa kuwa mbunge mara mbili hawezi shindwa kukupitisha tena mwaka huu.achana na Mungu wewe zamu ya mtu ikifika imefika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…