Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Niko Mwanza kwa shughuli ya kutafuta rizk kwa wiki ya pili sasa.
Kama ilivyo kawaida yangu kugeuka geuka pindi mwanamke mwenye chura akipita ili angalau nipige 'paper two'. Kwa kweli kwa sasa macho yangu yako super saturated na shingo yangu imelegea kutokana na kutumika vya kutosha!
Huku Mwanza kuna chura wa kutoshaa. Tofauti na Dar ambapo wenye chura wa kunesa nesa ni adimu kitu kinachofanya madem wenye chura Dar kuringa kama keki kutokana na uhaba mkubwa, huku Mza hali ni tofauti.
Uhaba wa chura Dar ndio unawafanya wanaume wa Dsm kuwa chura maniac kwa kuwa hii ni bidhaa adim.
Jaman, tembeleeni Mza mpunguze stress za flat screen wa Dar!