Kwa nilichokiona Mwanza, kweli Dar kuna upungufu mkubwa wa wanawake wenye chura!

Unasema?

Utakuwa na genes za upande wa mama wew.

Sent using simu mbovu
 
Nenda mitaa ya nssf building, postal bank, buzuruga na kirumba maeneo ya asubuhi pia mjini Kati maeneo yote Ni balaaaaaaa lazima ujikwae Leo nimepishana na binti katoka kuchota maji ana maviii balaa timing ikaharibika coz ilikuwa zero distance na maskani kwa mama yeyooo
 
Yaani hujakosea man

Mwanza unaweza jikuta unatoka Igoma hadi Buhongwa kwa miguu bila kuchoka!

Mwanza ni nouma sana.
 
Hujaenda Dodoma,,,wamama vijijini huko wana chura kiuno nyigu halafu hawaelewi kama wana chura,,,vululuvululu
Wanajua mkuu sema hawajui matumizi yake, na lina msaada gan Kweny uchumi wao
 
Hujaenda Dodoma,,,wamama vijijini huko wana chura kiuno nyigu halafu hawaelewi kama wana chura,,,vululuvululu
Wanajua kam wana vikalio vikubwa sema hawajui matumizi yake na Vina msaada upi Kweny kuendeleza uchumi wao
 
Makalio ni nini?
1. Kiungo kinachomsaidia mwanadamu kukaa

2. Kuficha/Kusitiri tundu la kutolea kinyesi

Zaidi ya hapo mengineyo hayana mashiko bali mahaba ya mtu mmoja mmoja...
 
Wanajua kam wana vikalio vikubwa sema hawajui matumizi yake na Vina msaada upi Kweny kuendeleza uchumi wao
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wekaga na kapicha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…